Ofisi ya madeni ni shirika linalokusanya taarifa toka kwenye akaunti za wadeni mbalimbali na hutoa taarifa hiyo kwa mashirika yenye wajibu wa kuhifadhi taarifa hizo. Mashirika haya hutumia majina mbalimbali kulingana na nchi yaliyoko. Kwa mfano, Marekani huitwa shirika la ripoti la walaji, shirika la kumbukumbu za madeni huko Uingereza, kampuni ya taarifa za madeni huko India. Wakopeshaji binafsi huweza pia kupata taarifa toka ofisi ya madeni.
Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ofisi ya madeni kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.