Nenda kwa yaliyomo

Brock Lesnar

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Brock Lesnar akimpiga mtu Suplex city.

Brock Edward Lesnar (alizaliwa 12 Julai 1977) ni mchezaji wa mieleka wa Marekani, na alikuwa mchezaji wa mpira wa miguu wa Kimarekani (American football). Kwa sasa amesajiliwa na WWE, ambapo hufanya kazi WWE Raw, pia ni bingwa wa sasa na wa muda mrefu tangu achukue ubingwa huo dhidi ya mpinzani wake The Undertaker mwaka 2015.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Brock Lesnar kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
pFad - Phonifier reborn

Pfad - The Proxy pFad of © 2024 Garber Painting. All rights reserved.

Note: This service is not intended for secure transactions such as banking, social media, email, or purchasing. Use at your own risk. We assume no liability whatsoever for broken pages.


Alternative Proxies:

Alternative Proxy

pFad Proxy

pFad v3 Proxy

pFad v4 Proxy