1907
Mandhari
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 19 |
Karne ya 20
| Karne ya 21
◄ |
Miaka ya 1870 |
Miaka ya 1880 |
Miaka ya 1890 |
Miaka ya 1900
| Miaka ya 1910
| Miaka ya 1920
| Miaka ya 1930
| ►
◄◄ |
◄ |
1903 |
1904 |
1905 |
1906 |
1907
| 1908
| 1909
| 1910
| 1911
| ►
| ►►
Makala hii inahusu mwaka 1907 BK (Baada ya Kristo).
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- 17 Desemba - Nchi ya Bhutan imekuwa umonaki kupitia kwa uchaguzi wa Ugyen Wangchuk kama mfalme wa kwanza.
Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]Kalenda ya Gregori | 2024 MMXXIV |
Kalenda ya Kiyahudi | 5784 – 5785 |
Ab urbe condita (Roma ya Kale) | 2777 |
Kalenda ya Ethiopia | 2016 – 2017 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1473 ԹՎ ՌՆՀԳ |
Kalenda ya Kiislamu | 1446 – 1447 |
Kalenda ya Kiajemi | 1402 – 1403 |
Kalenda za Kihindu | |
- Vikram Samvat | 2079 – 2080 |
- Shaka Samvat | 1946 – 1947 |
- Kali Yuga | 5125 – 5126 |
Kalenda ya Kichina | 4720 – 4721 癸卯 – 甲辰 |
- 23 Januari - Hideki Yukawa, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1949
- 3 Februari - James Michener, mwandishi Mmarekani, na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1948
- 21 Februari - W. H. Auden, mshairi kutoka Uingereza na Marekani
- 23 Machi - Daniel Bovet, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1957
- 24 Machi - Janet Bragg, rubani wa kike kutoka Marekani
- 15 Aprili - Nikolaas Tinbergen, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1973
- 25 Juni - Johannes Hans Daniel Jensen, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1963
- 6 Julai - Frida Kahlo, mchoraji kutoka Mexiko
- 18 Septemba - Edwin McMillan, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1951
- 30 Septemba - Joseph Kramm, mwandishi kutoka Marekani
- 2 Oktoba - Alexander Todd, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1957
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 16 Februari - Giosue Carducci, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1906
- 20 Februari - Henri Moissan, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1906
- 4 Septemba - Edvard Grieg, mtunzi wa muziki kutoka Norwei
- 7 Septemba - Sully Prudhomme, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1901
Wikimedia Commons ina media kuhusu: