Content-Length: 78948 | pFad | http://sw.wikipedia.org/wiki/Waasa

Waasa - Wikipedia, kamusi elezo huru Nenda kwa yaliyomo

Waasa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Waasa ni kabila dogo la watu wa Mkoa wa Manyara, Tanzania Kaskazini. Mwaka 1999 walihesabiwa kuwa 300 tu, baada ya wengine kumezwa na kabila la Wamasai.[1]

Zamani walikuwa wakiongea lugha ya Kiaasáx, iliyoitwa pengine "Kidorobo".

Makala hii kuhusu utamaduni wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Waasa kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.








ApplySandwichStrip

pFad - (p)hone/(F)rame/(a)nonymizer/(d)eclutterfier!      Saves Data!


--- a PPN by Garber Painting Akron. With Image Size Reduction included!

Fetched URL: http://sw.wikipedia.org/wiki/Waasa

Alternative Proxies:

Alternative Proxy

pFad Proxy

pFad v3 Proxy

pFad v4 Proxy