Latest
Ni Lazaro Nyalandu tena Singida Kaskazini

Lazaro Nyalandu amefanikiwa kukitetea kiti chake kama Mbunge wa Singida Kaskazini baada ya kuibuka na ushindi wa kishindo katika uchaguzi mkuu. Chama Cha Mapinduzi kimeshinda kata zote 21. Mbunge mteule wa jimbo la Singida kaskazini, Lazaro Samwel Nyalandu (katikati) akiwa…
Read more
Serikali ya China yakabidhi magari ya kusaidia kupambana na ujangili
Nyalandu atangaza kutetea jimbo lake

Mbunge Singida Kaskazini na Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu ametangaza kutetea kiti chake cha ubunge katika jimbo hilo. Akihutubia mamia ya wakazi waliojitokeza kumsikiliza Nyalandu alisema safari ya miaka 15 ya ubunge imekuwa ni ya mafanikio makubwa na…
Read more