Nenda kwa yaliyomo

Norman Haworth

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Norman Haworth

Walter Norman Haworth (19 Machi 188319 Machi 1950) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Uingereza. Hasa anajulikana kwa kuchunguza mfumo wa vitamini C. Mwaka wa 1937, pamoja na Paul Karrer alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia. Mwaka wa 1947 alipewa cheo cha "Sir".

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Norman Haworth kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
pFad - Phonifier reborn

Pfad - The Proxy pFad of © 2024 Garber Painting. All rights reserved.

Note: This service is not intended for secure transactions such as banking, social media, email, or purchasing. Use at your own risk. We assume no liability whatsoever for broken pages.


Alternative Proxies:

Alternative Proxy

pFad Proxy

pFad v3 Proxy

pFad v4 Proxy