Content-Length: 55017 | pFad | http://sw.wikipedia.org/wiki/Moyo_mkuu

Moyo mkuu - Wikipedia, kamusi elezo huru Nenda kwa yaliyomo

Moyo mkuu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Alexander Mkuu akimtendea kwa moyo mkuu mateka wake Mfalme Porus.

Moyo mkuu ni adili linaloonyesha ukuu wa mitazamo na miguso ya mtu.

Linaendana na utayari wa kukabili magumu na hatari kwa lengo fulani muhimu.

Kwa Kigiriki linaitwa megalopsuchia, ambalo Aristotle alilitaja kama "taji la maadili yote". Kwa Kilatini linaitwa magnanimitas, neno lenye maana ile ya moyo mkuu.









ApplySandwichStrip

pFad - (p)hone/(F)rame/(a)nonymizer/(d)eclutterfier!      Saves Data!


--- a PPN by Garber Painting Akron. With Image Size Reduction included!

Fetched URL: http://sw.wikipedia.org/wiki/Moyo_mkuu

Alternative Proxies:

Alternative Proxy

pFad Proxy

pFad v3 Proxy

pFad v4 Proxy