Content-Length: 77412 | pFad | https://sw.wikipedia.org/wiki/Val_Fitch

Val Fitch - Wikipedia, kamusi elezo huru Nenda kwa yaliyomo

Val Fitch

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Val Fitch

Val Logsdon Fitch (amezaliwa 10 Machi 1923) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza nadharia ya atomu na uhusiano wake na wakati. Mwaka wa 1980, pamoja na James Cronin alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Val Fitch kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.








ApplySandwichStrip

pFad - (p)hone/(F)rame/(a)nonymizer/(d)eclutterfier!      Saves Data!


--- a PPN by Garber Painting Akron. With Image Size Reduction included!

Fetched URL: https://sw.wikipedia.org/wiki/Val_Fitch

Alternative Proxies:

Alternative Proxy

pFad Proxy

pFad v3 Proxy

pFad v4 Proxy