Kiju
Mandhari
Kiju ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Nigeria inayozungumzwa na Waju. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kiju imehesabiwa kuwa watu 900 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiju iko katika kundi la Kichadiki.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kiju kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiju Archived 2016-11-30 at Archive.today
- lugha ya Kiju katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/juu
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiju kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |